MAMBO
YANAYOZINGATIWA KATIKA KUCHAGUA MUUNDO WA BIASHARA NI PAMOJA NA:
·
Masharti ya kisheria
·
Uwajibikaji wa wamiliki kwa
madeni ya biashara
·
Aina ya shughuli za biashara
·
Mgawanyo wa mapato
·
Mahitaji ya mtaji
·
Idadi ya wafanyakazi na utawala
·
Manufaa na hasara za kihasibu/
kikodi
·
Urefu wa mzunguko wa biashara
No comments:
Post a Comment